
MVP BANGALA AKUNJA MAMILIONI YAKE
MVP Yannick Bangala, baada ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, inaelezwa kwamba thamani ya mkataba huo ni shilingi milioni 400. Bangala mkononi ana Tuzo ya Kiungo Bora wa Ligi Kuu Bara 2021/22, kiraka huyo yupo hapo mpaka 2024 baada ya ule wa awali kutarajiwa kuisha. Nyota huyo mwenye uwezo wa kucheza beki wa kati…