
ATAKAYEVAA KITAMBAA KWA WASHIKA BUNDUKI NI ODE
KLABU ya Arsenal imemtangaza rasmi Martin Odegaard kuwa ni nahodha mpya kuelekea msimu mpya wa 2022/2023. Arsenal ilimsajili mchezaji huyo kutoka timu ya Real Madrid kwa mkopo kabla ya kukamilisha dili la kumsajili moja kwa moja kwa ada ya Paundi milioni 30 kufuatia kufanya vizuri ndani ya kikosi hicho cha washika mtutu wa London. Hivyo…