
BAYERN MUNICH WANAKUJA NA JAMBO LINGINE
MSIMU wa 2021/22 haukuwa bora kwa Bayern Munich kama wengi ambavyo walitarajia licha ya kutwaa taji la Bundesliga kwa mara ya kumi mfululizo. Bayern Munich katika msimu wa 2021/22, walitolewa DFB Pokal dhidi ya Borussia Monchengladbach kwa mabao 5-0, huku Ligi ya Mabingwa Ulaya wakiishia robo fainali wakiondoshwa na Villarreal. Licha ya Kocha Julian Nagelsmann…