Home Uncategorized SAUTI:KMC WAPANIA KUFUNGA MSIMU NA REKODI

SAUTI:KMC WAPANIA KUFUNGA MSIMU NA REKODI

CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amebainisha kwamba wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kufunga ligi ambao watacheza ugenini dhidi ya Dodoma Jiji huku mpango mkubwa ikiwa ni kuweza kuweka rekodi msimu wa 2021/22.

Kuelekea kwenye mchezo huo ni wachezaji wawili wanatarajiwa kuukosa mchezo huo ikiwa ni pamoja na Awesu Awesu na Mvuyekule ambao walipata maumivu kwenye mchezo wao dhidi ya Biashara United.

Previous articleAZAM FC WATASAJILI NAMNA HII
Next articleVIDEO:SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA MORRISON,MASHABIKI