
SINGIDA BIG STARS INAFIKIRIA KIMATAIFA
UONGOZI wa Singida Big Stars,umeweka wazi kwamba malengo yao ni kumaliza katika nne za juu ili waweze kushiriki mashindano ya kimataifa. Timu hiyo ambayo inatumia Uwanja wa Liti kwa mechi za nyumbani ina maingizo mapya ya kimataifa ikiwa ni pamoja na Meddie Kagere na Pascal Wawa ambao waliwahi kucheza Simba. Ofisa Habari wa Singida ig…