
MTUNISIA FRESH YANGA,KAZI INAANZA KESHO
MTUNISIA Nasreddine Mohammed Nabi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo ya ‘Wananchi’ hadi mwaka 2024. Licha ya Nabi kuhitaji ongezo zaidi la mshahara ambao wameafikiana, kingine ni mipango yake ndani ya mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania. Nabi anaamini anaweza kupata mafanikio aliyokosa alikopita, kama Yanga wanavyoamini pia juu yake hasa kufuatia kuimarishwa…