
ZORAN WA SIMBA AOMBA VIDEO ZA MAYELE WA YANGA
ZORAN aomba video za Mayele,straika wa kazi mlangoni Yanga ndani ya Championi Jumatano
ZORAN aomba video za Mayele,straika wa kazi mlangoni Yanga ndani ya Championi Jumatano
TAMBO kwa sasa kwa zinazidi kutawala ambapo kila mmoja anaamini kwamba amefanya usajili mzuri na anaweza kuchukua kila kitu ambacho anakihitaji. Ipo hivyo na ni maisha ya mpira hakuna anayeweza kuzuia maneno ambayo yanatokea lakini ukweli unabaki ukweli kwamba mpira unahitaji vitendo zaidi. Yale maneno ambayo yamekuwa yakitolewa na mashabiki pamoja na viongozi yana muda…
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa usajili ambao umefanywa kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho kunawafanya warudi msimu ujao wakiwa na kasi nyingine. Nyota sita wametambulishwa Simba ikiwa ni wazawa wawili ambao ni Habib Kyombo na Nassoro Kapama huku wageni ikiwa ni Moses Phiri, Mohamed Outtara,Victor Ackpan,Auhgustine Okra. Matola amesema kuwa kwa namna ambavyo…
KAMPUNI ya Michezo ya kubashiri ya SportPesa imeingia mkataba wa makubaliano wenye thamani ya Shilingi Bilioni 12.33 na Yanga SC kwa kipindi cha miaka mitatu, baada ya mkataba wa awali wa miaka mitano kufika ukingoni. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya SportPesa, Abbas Tarimba amesema mkataba huo utakuwa wa miaka mitatu wenye thamani ya kiasi…
SIMBA inanukia fedha baada ya kusaini dili na M Bet lenye tahamani ya bilioni 26.1 mkwanja ambao unatajwa kutolewa kwa mafungu kila mwaka kukiwa na ongezeko la fedha kutoka kwa wadhamini hao
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana wachezaji kiasi cha kukosa muda wa kutosha wa kupumzika. Nabi raia wa Tunisia ambaye ameiongoza Yanga kutwaa mataji matatu msimu uliyopita amesema hayo mara baada ya kurejea Kambini, Avic Town ambako…
YANGA kumshusha Dar Manzoki kwenye Wiki ya Mwananchi ambayo inatarajiwa kufika kilele chake Agosti 6,Uwanja wa Mkapa
KIUNGO Mnigeria Victor Akpan ambaye ametambulishwa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kwa msimu ujao anaamini kuwa watashinda makombe baada ya timu hiyo kuwa na wakati mbaya msimu uliopita. Tayari kiungo huyo ametambulishwa ndani ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kikosi cha Coastal Union. Akpan alitupia bao moja na kutoa pasi mbili ndani…
MCHEZO wa kwanza walipokutana aliwafunga ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Somalia 0-1 Tanzania walipokutana mara ya pili akawafunga tena. Anaitwa Abdul Suleiman,’Sopu’ kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Star ambaye anafanya kazi ngumu kuwa nyepesi. Alihusika kwenye mabao mawili wakati Stars ikishinda 2-1 Somalia kwenye mchezo wa pili,Uwanja wa Mkapa ambapo alifunga…
Simba inanukia fedha,Yanga mambo byuti byuti,ndani ya Spoti Xtra Jumanne
PARIS Saint Germain,(PSG) wamefanikiwa kufungua msimu wa 2022/23 kwa kutwaa taji la Trophee des Champions ambapo Lionel Mess,Neymar Jr na Sergio Ramos waliweza kufanya kweli. PSG waliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nantes kwenye mchezo uliokuwa ni wa ufunguzi wa msimu mpya wa 2022/23. Kwenye mchezo huo mabao ya PSG yalifungwa na Messi…
KLABU ya Arsenal imemtangaza rasmi Martin Odegaard kuwa ni nahodha mpya kuelekea msimu mpya wa 2022/2023. Arsenal ilimsajili mchezaji huyo kutoka timu ya Real Madrid kwa mkopo kabla ya kukamilisha dili la kumsajili moja kwa moja kwa ada ya Paundi milioni 30 kufuatia kufanya vizuri ndani ya kikosi hicho cha washika mtutu wa London. Hivyo…
KIUNGO wa kazi Mudhathir Yahya hatakuwa sehemu ya kikosi cha Azam FC baada ya mkataba wake kuisha na mabosi wake hao kuamua kutomuongezea mkataba mpya. Muda hakuweza kusafiri na timu kuelekea nchini Misri kwa kuwa alikuwa na majukumu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Stras ilikuwa na kazi ya kusaka tiketi ya kucheza…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea Wiki ya Mwananchi,Agosti 6,2022 kila kitu Byuti Byuti kama ilivyo slogan yao kwa mwaka huu. Makamu wa Rais Young Africans SC na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Wiki ya Mwananchi,Arafat Haji amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na kila kitu kinakwenda sawa. “Agosti 6 ndiyo siku pekee ambayo…
AZAM FC bado wanendelea na kambi nchini Misri ambapo kwa sasa wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23,kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit ameweka wazi kuwa wamekamilisha masuala ya ICT kwa wachezaji wa kigeni
MTEDAJI Mkuu wa Simba,Barbara Gonzale amesema kuwa leo ni kubwa kwa Simba na kampuni ya kubashiri ya M-Bet ambao ni wadhamini wao wakuu walioweka mkwanja mrefu kwa muda wa miaka mitano. Ni mkataba wenye thamani ya bilioni 26 kwa miaka mitano ikiwa ni mkwanja mrefu watakaopokea Simba kwa mafungumafungu. Barbara amesema:”Leo ni siku kubwa kwa…
WALTER Harson aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa KMC ameweza kuwashukuru maosi wake hao na sasa anakwenda kuanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha Yanga. Ujumbe wake ambao amewaandikia mashabiki wake pamoja na KMC unasomeka namna hii:”Imekuwa miaka minne yenye kujifunza na kukua katika tasnia. Nafasi niliyoipata ya kuhudumu kama Mtendaji Mkuu wa Klabu kwa kipindi chote…