
SIMBA WAONJA JOTO YA JIWE WANYOOSHWA KWA KUCHAPWA 2-0
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wake aliopoteza nchini Misri unampa mwanga mpana wa kutambua ubora wa kikosi chake. Maki alishuhudia vijana wake wakinyooshwa kwa kupoteza kwenye mchezo wa tatu wa kirafiki uliochezwa nchini Misri ambapo ni mabao 2-0 walifungwa dhidi ya Haras El Hodoud Katika mchezo wa kwanza waliambulia sare na…