Home Sports KOCHA MPYA TANZANIA NI MRUNDI

KOCHA MPYA TANZANIA NI MRUNDI

JOSLIN Sharif Bipfubusa raia wa Burundi  ametambulishwa rasmi leo Julai 26,2022 kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania.

Ni mkataba wa mwaka mmoja amepewa kocha huyo uweza kuinoa timu hiyo.

Kocha huyo amewahi kuifundisha Timu ya Taifa ya Burundi na timu mbalimbali za Burundi, Rwanda na DRC.

Amechezea timu mbalimbali ikiwemo timu ya Taifa ya Burundi anakuja kuchukua mikoa ya Malale Hamsini ambaye alikuwa anainoa timu hiyo.

Atakuwa na kazi ya kuweza kukiongoza kikosi hicho kwa msimu mpya wa 2022/23 kwa ajili ya kuweza kuleta ushindani ndani ya ligi.

Previous articleNBC WATOA FIDIA YA BIMA TABORA
Next articleMATOLA:WACHEZAJI WANAFURAHIA MAZOEZI,KESHO TENA