
MKATABA WA MAYELE YANGA UPO NAMNA HII
HATIMAYE mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amevunja ukimya juu ya mkataba wake na Yanga, ambapo ameweka wazi kuwa yeye si mchezaji wa mkopo bali alisaini mkataba wa miaka miwili na bado amebakiza mwaka mmoja. Mayele alijiunga na Yanga Agosti 1, 2021 kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika Klabu ya AS Vita ya kwao DR…