
JESUS MOLOKO KAMILI KUIVAA SIMBA,KAMBOLE BADO
JESUS Moloko kiungo wa Yanga kesho anatarajiwa kuweza kucheza kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo alikwama kuanza kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Vipers SC ya Uganda wakati Yanga ilipopoteza kwa kufungwa mabao 2-0 Uwanja wa Mkapa. Nasreddine Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kwamba watacheza…