
DIEGO COSTA APATA KIBALI CHA KAZI KUIBUKIA WOLVES
MSHAMBULIAJI mkongwe, Diego Costa mwenye miaka 33 anatarajiwa kusaini mkataba mfupi wa mwaka mmoja na Klabu ya Wolves baada ya kupata kibali cha kufanya kazi tena England. Raia huyo wa Hispania aliicheza Chelsea kuanzia 2014-17 alipigiwa simu na Wolves baada ya mshambuliaji wao waliyemnunua katika dirisha hili, Sasa Kalajdzic kuumia goti huku Paul Jimenez akiwa…