
VIDEO:MBOTO ATEMA CHECHE SARE YA YANGA V AZAM FC
SARE ya Yanga Mboto atema cheche baada ya kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 2-2 Azam FC na kuwafanya wagawane pointi mojamoja
SARE ya Yanga Mboto atema cheche baada ya kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 2-2 Azam FC na kuwafanya wagawane pointi mojamoja
KIUNGO wa Yanga, Tuisila Kisinda kwa sasa yupo ndani ya ardhi ya Tanzania baada ya kusajiliwa kwenye kikosi hicho na alikuwa miongoni mwa walioshuhudia mchezo wa ligi kati ya Yanga 2-2 Azam FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa.
LEO Septemba 7 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo timu zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Seleman Matola atakiongoza kikosi hicho ambacho kwenye mchezo wa leo baada ya Zoran Maki kufikia makubaliano ya kuvunja…
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji inatarajiwa kukutana Ijumaa kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na suala la Tusisila Kisinda winga ambaye amesajiliwa Yanga. Ikumbukwe kwamba Kisinda amesajili Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane lakini usajili wake umekwama kukamilika kutokana na usajili wake kuchelewa kwa mujibu wa kanuni ya 62, (1) ya ligi kuu…
AZAM FC licha ya kutangulia kuanza kufunga mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa walikwama kusepa na pointi tatu jumlajumla. Ikiwa chini ya Kali Ongala, ambaye ni kocha wa washambuliaji walianza kupachika bao la kuongoza kupitia kwa Daniel Amoah dakika ya 25 kisha Yanga wakafunga bao la kusawazisha kupitia…
MECHI mbili za Ligi Kuu Bara ameongoza akiwa benchi na ameshinda mbili kwa jumla ya mabao matano, mwendo ameumaliza kocha Zoran Maki ndani ya kikosi hicho baada ya kuchimbishwa na timu ipo mikononi mwa Seleman Matola. Mbali na Maki pia kocha wa viungo Sbai Karim na Kocha wa Makipa Mohamed Rachid naye amechimbishwa. Wote wamefikia…
Wiki imeanza vyema zaidi kwa Klabu ya soka ya KMC, ambao wamepata mdhamini mpya, ikiwa ni neema kwa klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania. KMC wameingia rasmi mkataba wa udhamini na klabu ya Meridianbet, ambao ni mabingwa na Kampuni ya kwanza ya ubashiri Tanzania. KMC imekuwa ni klabu inayokua kwa kasi tangu kuanzishwa…
KIKOMBE cha mrithi wa mikoba ya Abdi Hamid Moallin aliyekuwa kocha mkuu wa Azam FC ambacho kipo mikononi mwa Daniel Cadena ambaye ni kocha wa makipa ni kichungu kwa kuwa anakutana na timu ambayo haijafungwa. Ni mchezo dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 6 zikiwa zimebaki siku tano kabla ya timu hizo…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa jambo la msingi kwenye kila mchezo ni wachezaji wao kutambua kwamba lazima wawaheshimu wapinzani ili kupata matokeo chanya. Yanga ikiwa imecheza mechi mbili imeshinda zote ilikuwa Polisi Tanzania 1-2 Yanga na Coastal Union 0-2 Yanga mechi zote zilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Kete ijayo ni…
AZAM FC imefikia makubaliano na Denis Lavagne, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani. Kocha huyo raia wa Ufaransa ana leseni ya juu ya ukocha (UEFA Pro Licence), anaibuka Azam FC kuchukua mikoba ya Abdihamid Moallin. Lavagne anatarajia kutua nchini leo Jumanne, tayari kuanza rasmi majukumu yake…
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Septemba 6 inaendelea kwa mechi mbili kuchezwa katika viwanja tofauti. Geita Gold wao watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Kagera Sugar, mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Geita Gold ipo nafasi ya 13 na pointi moja inakutana na Kagera Sugar iliyo nafasi ya 16 haijakusanya pointi. Kagera Sugar…
IMEELEZWA kuwa nyota mpya wa kikosi cha Yanga, Tuisila Kisinda hatakuwa sehemu ya kikosi cha msimu mpya wa 2022/23 kutokana na usajili wake kushindwa kukamilika. Usajili huo umekwama kukamilika jambo ambalo limeleta sintofahamu kubwa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya klabu hiyo kuandikiwa barua wakizuiwa kuwa naye kutokana kwa kuwa imekamilisha uhamisho wa wachezaji…
KUWAONA matajiri wa dhahabu, Geita Gold wakisaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar ni buku tatu, (3,000) kwa mzunguko. Ni mchezo wa ligi ikiwa ni mzunguko wa tatu kwa timu hizo ambazo ziashiriki Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Kwa upande wa VIP B kiingilio ni 5,000 na kwa upande wa VIP A kiingilio ni…
NYOTA wa Simba, Clatous Chama ametanagazwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Agosti kwa kupata kura nyingi kutoka kwa mashabiki. Kiungo huyo ameanza kwa kasi msimu wa 2022/23 ambapo kwenye mechi mbili za ligi kafunga bao moja katoa pasi moja ya bao na kasababisha faulo moja iliyoleta bao ilikuwa kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Geita…
TAMBO zimetawala kwa makocha wa Yanga na Azam FC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa kesho Septemba 6,2022 Uwanja wa Mkapa. Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi itakuwa nyumbani kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa ugenini. Ilikuwa mchezo dhidi ya Polisi Tanzania,ambapo ubao ulisoma…
SEPTEMBA 6, Uwanja wa Mkapa, ni Dar Dabi kati ya Yanga v Azam FC, ambapo kuwaona mastaa wa timu hizo mbili wakisaka ushindi ikiwa ni pamoja na Dennis Nkane, Fiston Mayele, Bernard Morrison na Aziz Ki kwa Yanga ni buku tano, (5,000). Kwa upande wa Azam FC ambao ni wageni kwenye mchezo huo wapo nyota…
SABABU za usajili wa Kisinda kuzuiliwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF)