Home Sports SAUTI: SIMBA YATANGA KOCHA MPYA USIKU,KUANZA KAZI KIMATAIFA

SAUTI: SIMBA YATANGA KOCHA MPYA USIKU,KUANZA KAZI KIMATAIFA

JUMA Mgunda amepewa majukumu ya kuwa Kocha Mkuu wa Simba kwa muda akishirikiana na Seleman Matola, wote hawa ni wazawa wanakwenda kukiongoza kikosi hicho dhidi ya Big Bullets ya Malawi, kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na leo Alhamisi kikosi hicho kinatarajiwa kuondoka

Previous articleMTIBWA SUGAR WANABALAA HAO WAICHAPA IHEFU
Next articleNAPOLI WAICHAPA LIVERPOOL 4G