
MAPUMZIKO:SIMBA 1-0 ST GEORGE
UWANJA wa Mkapa, mchezo wa kirafiki ni mapumziko, Simba 1-0 Saint George SC mtupiaji ni Kibu Denis. Mzawa huyo ametupia bao hilo kwa shuti kali akitumia mguu wake wa kulia lililomshinda mlinda mlango wa St.George. Leo ni kielel cha Simba Day ambapo kuna burudani zinaendelea Uwanja wa Mkapa. Pia mastaa wa Simba ikiwa ni pamoja…