
AZIZ KI,OKRA WAPEWA KAZI MAALUMU KWENYE DABI
MASTAA wawili wapya kwenye timu zao ambazo zinatarajiwa kukutana leo kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, Azizi KI na Augustino Okra. Leo Aziz KI ambaye ni ingizo jipya ambaye alijiunga na Yanga akitokea Klabu ya ASEC Mimosas atakutana na Okra ambaye alijiunga na Simba akitokea Klabu ya Bechem United ya Ghana. Ni kazi ya kupiga…