TEN HAG AAMBIWA ALIKOSEA KUPANGA KIKOSI

CHAMBUZI wa masuala ya michezo Jamie Redknapp amemlaumu Kocha Mkuu wa Manchester United,Eric ten Hag kwa kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Brentford ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Jumamosi. United walipata tabu kwenye mchezo huo kwa mabao ya Josh Dasilva,Ben Mee,Bryan Mbuemo na Mathias Jensen. Licha ya kwamba kuna makosa ya washambuliaji…

Read More

RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI KUU BARA

ILE burudani ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda sasa inarejea kwa kasi ambapo ni leo Agosti 15,viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu. Ihefu FC ya Mbeya itawakaribisha Ruvu Shooting huku Namungo FC wao watamenyana na Mtibwa Sugar ya Morogoro.  Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila imerejea kwenye ligi kwa mara nyingine baada…

Read More

MUDA WA MAANDALIZI UMEFIKA KWA SASA ILI KAZI IENDELEE

MUDA wa kazi umefika kwa kuwa kulikuwa na ule wa maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23 ambao utakuwa na ushindani mkubwa. Kufika tamati wa maandalizi ya msimu uliopita inamaana kwamba sasa tunakwenda kuanza jambo lingine na  kutokana na namna ambavyo timu zimejipanga litakuwa ni jambo la maana kweli. Tayari ratiba imeshatolewa hivyo inamaanisha…

Read More

JINA LA MESSI HALIPO KWENYE TUZO YA BALLON D’OR

JINA la Lionel Messi halijatajwa kwenye tuzo ya kuwania katika orodha ya wachezaji 30 ambao wanawania Tuzo ya Ballond’Or. Messi ambaye ana rekodi ya kubeba tuzo hiyo mara saba zikiwa ni nyingi kushinda wachezaji wengine hayupo kwenye orodha iliyotolewa Ijumaa. Sherehe za tuzo hiyo znatarajiwa kufanyika Oktoba 17 mwaka huu Paris,Ufaransa. Kwenye orodha hiyo,Messi anayecheza…

Read More

AZAMKA INAWALETA ZESCO KESHO AGOSTI 14

KESHO Agosti 14 kikosi cha Azam FC kitashuka Uwanja wa Azam Compex ikiwa ni mchezo wa kirafiki. Mchezo huo ni kuhitimisha kilele cha Tamasha la AZAMKA ambalo ni maalumu kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wapya. Kiingilio kwenye mchezo huo kwenye jukwaa la mzunguko ni 5,000 tu hivyo mashabiki wa Azam FC watakuwa na kazi ya…

Read More

FT:YANGA 2-1 SIMBA UWANJA WA MKAPA

YANGA imeanza kwa kutetea taji lao la Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa kwa mabao ya Fiston Mayele ambaye amemtungua Beno Kakolanya huku lile la Simba likifungwa na Pape Sakho. Simba walianza kufunga kipindi cha kwanza mapema dk ya 16 na kuwafanya waongeze hali…

Read More

YANGA 0-1 SIMBA,UWANJA WA MKAPA

PAPE Sakho kiungo wa Simba amefunga bao la kuongoza kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambalo lilimshinda mlinda mlango namba moja wa Yanga Diarra Djigui. Bao hilo linawafanya Simba wanaonolewa na Zoran Maki waende mapumziko wakiongoza bao moja dhidi ya Yanga,Agosti 13,2022 ilikuwa dk ya 16.

Read More

ARSENAL YATEMBEZA KICHAPO CHA 4G

UWANJA wa Emirates, Arsenal imeshinda jumla ya mabao 4-2 dhidi ya Leicester City ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England. Ushindi huo unawafanya washika bunduki hao kusepa na pointi tatu mazima kwa mabao ya Gabriel Jessus dk ya 23 na 35,Granit Xhaka dk 55 na Gabriel Martinell dk ya 75. Kwa upande wa Leicester City…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA SIMBA UWANJA WA MKAPA

KIKOSI cha Yanga ambacho kitaanza leo mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba kipo namna hii:-Diarra Djigui,DjumaShaban,Kibwana Shomari,Dickson Job, Yannick Bangala, Khalid Aucho,SureBoy ,Feisal Salum,Fiston Mayele,KI Aziz na Farid Mussa. Kwa upande wa wachezaji wa akiba ni Aboutwalib Mshery,Joyce Lomalisa, Bakari Mwamnyeto,Bacca, Zawad Mauya,Bigirimana, Jesus Moloko,Bernard Morrison na Makambo. Yanga…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA UWANJA WA MKAPA

KIKOSI cha kwanza cha Simba kitakachoanza dhidi ya Yanga mchezo wa Ngao ya Jamii leo Agosti 13 langoni kipa namba moja Aishi Manula amekosana hivyo makujukumu yapo kwa Beno. Maki Zoran Kocha Mkuu wa Simba ameanza namna hii ikiwa ni mchezo wake wa kwanza wa ushindani ndani ya kikosi cha Simba:-Beno Kakolanya, Israel Mwenda, Mohamed…

Read More