
HIKI HAPA KIKOSI KIPYA CHA KMC,MASTAA WAPYA 14
KIKOSI cha KMC FC kinachoshiriki Ligi Kuu Bara, msimu ujao kitakuwa na jeshi la wachezaji 27 kati yao nyota 14 ni wapya. KMC msimu uliopita ilimaliza ligi ikiwa nafasi ya 10 na pointi 35 baada ya kucheza mechi 30 huku Kocha Mkuu, Hitimana Thiery akibaki na nyota 13 aliokuwa nao msimu uliopita wa 2021/22. Ofisa…