
KOCHA MPYA SIMBA KUANZA NA WAMALAWI KIMATAIFA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini watafanya vizuri kwenye mechi yao dhidi ya Big Bullets inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi nchini Malawi ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mgunda amekabidhiwa mikoba kwa muda ndani ya Simba ambayo kwa sasa inatafuta kocha mpya baada ya kuachana na Zoran Maki aliyechukua mikoba ya…