
SAUTI:MWAKINYO NA HAJI MANARA WACHARURANA
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara na bondia Hassan Mwakinyo wameingia kwenye majibizano baada ya Mwakinyo kupigwa kwa TKO kwenye pambano lake
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara na bondia Hassan Mwakinyo wameingia kwenye majibizano baada ya Mwakinyo kupigwa kwa TKO kwenye pambano lake
INJINIA Hersi Said, Rais wa Yanga amebainisha kuwa mabingwa wa Ndondo Cup wanatokea kwenye mitaa inayojulikana na watafanya kazi kuweza kutengeneza muunganiko
LICHA ya Leicester City kuanza kupata bao la mapema kuongoza dakika ya kwanza halikuwapa nguvu ya kukusanya pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Brigton. Ni Kelechi Iheanacho alianza kupachika bao lakuongoza mapema kabisa kipindi cha kwanza dakika ya kwanza na bao la pili kwa timu hiyo lilifungwa na Patson Daka yeye…
ARSENAL inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta imepoteza kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Trafford. Kwenye mchezo huo uliokuwa na kasi kubwa watupiaji ni Antony dakika ya 35, Marcus Rashford huyu alitupia mawili dakika ya 66…
MABOSI Simba wacharuka, mastaa Yanga wafunguka usajili wa Kisinda, ndani ya Championi Jumatatu
PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Simba ameweka wazi kuwa mafanikio ya timu hiyo huwezi kuyataja na kumuweka pembeni Dk Yassin Gembe. Gembe alitangulia mbele za haki Septemba 2,2022 ambapo taarifa ilitolewa na uongozi wa Simba ilieleza Gembe aliyekuwa daktari wa timu ya wanaume (Senior Team) kilitokea kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Leo Septemba 4, imefanyika ibada…
HII hapa ratiba ya Yanga, ndani ya mwezi Septemba mechi za kitaifa na kimataifa zipo namna hii:- Septemba 6,2022, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku. Septemba 10,2022, Uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni, Zalan v Yanga mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Septemba 13,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Mtibwa Sugar, saa 1:00 usiku….
BONDIA Hassan Mwakinyo amesimulia fitina ambazo amefanyiwa nchini Uingereza kwenye pambano ambalo amecheza na kupoteza kwa TKO
ISSA Azam shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele aliomba kusajiliwa Simba akaambiwa hawezi kucheza huko
LICHA ya kuwa na mastaa wake wote ndani ya kikosi cha Liverpool ikiwa ni Mohamed Salah, Roberto Firmino, Virgil Van Djik waliambulia pointi moja mbele ya Everton kwenye Merseyside Dabi. Unakuwa ni mchezo wa tatu kwa Liverpool kupata sare msimu huu ikiwa imecheza mechi sita, imeshinda mbili na ilinyooshwa mbele ya Manchester United jambo linaloonesha…
BONDIA Hassan Mwakinyo, Mtanzania ambaye ampeteza kwa kupigwa TKO nchini Uingerza amebainisha kuwa aliibiwa begi lake jambo lililofanya apewe viatu tofauti kwenye pambano lake dhidi ya Liam Smith
ERIC ten Hag, Kocha Mkuu wa Manchester United ameweka wazi kuwa atakabiliana na wapnzani wao Arsenal ambao ni kipimo sahihi kwake kutokana na ubora wa wapinzani wao hao kwa sasa. Man United inatarajiwa kuvaana na Arsenal leo Septemba 4,2022 Uwanja wa Old Trafford ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England. Arsenal imeanza msimu wa 2022/23…
KOCHA Nabi amuonya Kisinda, Zoran Maki abaki njia panda Simba ndani ya Spoti Xtra, Jumapili
BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo ameomba msamaha kwa kushindwa dhidi ya mpinzani wake Liam Smith ambalo lilifanyika jijini Liverpool nchini Uingereza na Mwakinyo kushindwa kwa TKO. Kushinwa kwa Mwakinyo ambaye alikuwa anaipeperusha bendera ya Tanzania kulifanya maamuzi ya mchezo huo yakawa ni kumtangaza Liam Smith kama mshindi wa pambano hilo. Mwakinyo amemwaga machozi wakati alipokuwa akiwaomba…
LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23 imeanza kwa ushindani mkubwa huku kila timu zikikamilisha usajili wao kwa kile ambacho walikuwa wanahitaji. Nyota wapya wakigeni wapo ikiwa ni pamoja na kutoka Uganda, Burundi, Rwanda lakini nyota kutoka DR Congo wametawala soka la Bongo. Hapa tunakuletea baadhi ya nyota wakigeni kutoka DR Congo ambao wanakipiga kwenye…
SIMBA imenyooshwa bao 1-0 dhidi ya Arta Solar kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru,shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kila mchezaji anatimiza majukumu ikiwa ni pamoja na Henock Inonga kwenye timu hiyo
MWENDO wa kuwania kufuzu CHAN kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars umegotea Uganda baada ya kufungwa mabao 3-0 na kufanya itolewe kwa jumla ya mabao 4-0. Mchezo wa leo Stars ilikuwa na mzigo wa kusaka mabao zaidi ya mawili na kupambana kujilinda wasifungwe jambo ambao liliweza kudumu katika dakika 14 za mwanzo pekee….