
SIMBA KUCHEZA MWINGINE WA KIMATAIFA
BAADA ya kurejea kutoka nchini Sudan kikosi cha Simba kesho kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar, Uwanja wa Mkapa. Simba ilialikwa kwenye michuano maalumu iliyoandaliwa na Al Hilal ambapo iliweza kucheza mechi mbili za kirafiki. Mchezo wa kwanza Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki alishuhudia timu hiyo ikishinda mabao 4-2…