
KIKOSI CHA STARS KITAKACHOANZA DHIDI YA UGANDA
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda, leo Septemba 3 Uwanja wa St Marys, Kitende, Uganda. Ikumbukwe kwamba mchezo wa leo ni wa mkondo wa pili kwa Stars ikiwa inakumbuka ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa hivyo leo ina…