Home Entertainment HUYU NDIYO MSIHINDI WA WIKI, MILIONI 60+ KWENYE KASINO YA MERIDIANBET!

HUYU NDIYO MSIHINDI WA WIKI, MILIONI 60+ KWENYE KASINO YA MERIDIANBET!

Leo tuna stori ya ushindi, ya mshindi wa Meridianbet, ambaye amebutua kwenye mchezo wa Aviator zaidi ya milioni 60 wiki hii. Stori hii itakufundisha kuwa uhindi mkubwa wa kasino ya Meridianbet unaweza kuwa wako wakati wowote, umakini na maamuzi ya kujaribu yanaweza kukusogeza karibu na ushindi.

 

Mshindi wa Aviator, kwa utambulisho wake wa DM kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ametamba kuwa hajutii maamuzi yake ya kujaribu kucheza michezo ya kasino, na alivutiwa zaidi na mchezo wa Aviator ambao amekuwa akicheza mara kwa mara.

 

Aviator, umekuwa mchezo maarufu zaidi kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ukiwa na wachezaji wengi zaidi. DM anasema awali alikuwa anapendelea mchezo Wild Icy na Virtual Games, lakini baadaye mapenzi yake yakahamia kwenye Aviator.

Umewahi kufikiria kuwa kucheza gemu kunaweza kukufanya uwe Milionea?

Bila shaka, wengi tunapenda kucheza gemu kama namna ya kupoteza mawazo au kufurahia muda  au wakati wa kupumzika. Habari njema ni kuwa, unaweza kucheza gemu na kushinda hadi jackpot kubwa za kasino ya mtandaoni ukiwa na Meridianbet.

 

DM meshinda zaidi ya Milioni 60 wiki hii kwa kuwa rubani wa Aviator, gemu inayopatikana kwenye kasino ya Meridianbebet. Mchezo huu unatoa nafasi sawa kwa kila anayecheza kukusanya ushindi kwa umakini wake tu na kuwa na spidi linapofika suala la kukusanya ushindi.

 

“Nilikuwa napenda gemu zingine kama Wild Icy na zingine za Virtual, lakini Aviator nikaona ndiyo bora zaidi kwangu. Ni mchezo ambao umekuwa unafurahisha ukiacha suala la kushinda, lakini na ushindi ninaoupata kama huu unafanya nione hii ni gemu bora zaidi kwangu” – DM

 

Ukiaacha ushindi unaoweza kuupata kwenye mchezo huu, kinachovutia zaidi ni kwamba unaweza kucheza kwa kiwango kidogo na kuwa na nafasi ya kupata ushindi. Bonasi na promosheni zinafanya mchezo kuwavutia zaidi wengi.

 

Na wewe, unaweza kuwa DM na kubutua namilioni kwenye kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Bila kusahau kuna jackpot nyingi za casino kupitia waandaaji wa michezo hii inayopatikana kwenye kasino ya Meridianbet. Kama wewe sio mpenzi wa kasino, usijali, kuna fungu lako la kupata kwenye michezo mingine ya kubashiri kama soka, mbio za mbwa, virtual games na michezo mwingine kibao! Ingia www.meridianbet.co.tz kuona fungu lako.

Ukiwa hauna Intaneti, usijali, haujatengwa bonyeza *149*10# kwa Airtel na Tigo kutandika majamvi yako ya ushindi.

Previous articleMERIDIANBET WAWATEMBELEA SOBER HOUSE KIGAMBONI
Next articleRONALDO KUTUA NAPOLI