Home Sports RATIBA YA MECHI ZA YANGA SEPTEMBA

RATIBA YA MECHI ZA YANGA SEPTEMBA

HII hapa ratiba ya Yanga, ndani ya mwezi Septemba mechi za kitaifa na kimataifa zipo namna hii:-

 Septemba 6,2022, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku.

Septemba 10,2022, Uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni, Zalan v Yanga mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 13,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Mtibwa Sugar, saa 1:00 usiku.

Septemba 17,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Zalan, Uwanja wa Mkapa, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 29,2022, Ihefu v Yanga, Uwanja wa Highland Estate.

Previous articleVIDEO;INASIKITISHA, MWAKINYO ASIMULIA FITINA ALIZOFANYIWA
Next articleRWEYEMAMU:MAFANIKIO YA SIMBA HUWEZI MUACHA GEMBE