
WATATU SIMBA WAPENYA KUWANIA ZAWADI YA MWAKA
NYOTA watatu wa kikosi cha Simba wamepenya kwenye hatua ya kuwania tuzo ya mchezaji bora. Ni tuzo ya kufungia mwaka 2022 ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Atakayesepa na tuzo hiyo atakuwa amefungua zawadi ya kwanza kutoka kwa mashabiki kwa 2023 kutoka kwa mashabiki. Ni kiungo Clatous…