
KOCHA HISPANIA AKUBALI UWEZO WA BONO
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Hispania Luis Enrique ameweka wazi kuwa ubora wa kipa wa Timu ya Taifa ya Morocco ulikuwa mkubwa jambo ambalo lilimfanya afikirie kumbadilisha. Hispania walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kupata ushindi lakini mambo yakawa tofauti walikwama kupata ushindi baada ya Morocco kushinda kwa penalti 3-0 Hispania ambao walikosa penalti…