
SAKA KUWAKABILI SENEGAL
NYOTA wa timu ya taifa ya England, Bukayo Saka anatarajiwa kuanza kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya timu ya taifa ya Senegal. Huu ni mcheza kwanza kwa timu hizi mbili kukutana kwenye Kombe la Dunia na rekodi zinaonyesha kuwa hawajawahi kumenyana hata kwenye mchezo wa kirafiki. Ikumbukwe kwamba nyota huyo ambaye anakipiga…