Home Sports COASTAL UNION 0-0 SIMBA

COASTAL UNION 0-0 SIMBA

MILANGO ni migumu kwa timu zote mbili ambazo zinasaka pointi tatu pale Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Ubao baada ya dakika 45 za mwanzo kukamilika umesoma Coastal Union 0-0 Simba.

Coastal Union wao hawana matatizo kuingia ndani ya 18 bali wanafanya majaribio wakiwa nje ya 18 kupitia kwa Majimengi amaye anawapa tabu mabeki wa Simba.

Simba mipango yao mpaka waingine ndani ya 18 wakimtumia Clatous Chama kutengeneza mipango na mshambuliaji wao ni John Bocco.

Previous articleSINGIDA BIG STARS WATATU WATUPIA NA KUSEPA NA POINTI
Next articleHAWA HAPA MASTAA WA YANGA WATAKAOIKOSA PRISONS