
MWAMBA AZIZ KI, MTAMBO WA MAPIGO HURU
KWA mzunguko wa kwanza majukumu ya mipira iliyokufa ndani ya kikosi cha Yanga yalikuwa kwenye miguu ya Aziz KI. Nyota huyu bado hajaonyesha makeke yake kama ilivyokuwa ndani ya ASEC Mimosas lakini taratibu anazidi kuimarika. Ni mabao mawili ametupia ndani ya ligi msimu huu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,…