
VIDEO:JEMBE AWAVAA SIMBA/MAKUNDI CAF/
JEMBE mkongwe kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo ametaja timu aliyokuwa anaifuatilia Kombe la Dunia ilikuwa ni Brazil lakini kilichotokea kimetokea na amefurahi kuona Timu ya Taifa ya Morocco ikiingia hatua ya nusu fainali