
VIDEO:KIMEUMANA FEI AVAA JEZI NYEKUNDU/ATAKA GARI NA NYUMBA
KIMEUMANA Fei avaa jezi nyekundu/ ataka gari na nyumba
KIMEUMANA Fei avaa jezi nyekundu/ ataka gari na nyumba
DODOMA Jiji waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kufungia mwaka 2022. Ni mabao ya Mwaterema dakika ya 24 na Opare dakika ya 66 yalitosha kuzamisha jahazi la Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwenye mechi za nyumbani. Ushindi huo unaifanya Dodoma Jiji kufikisha pointi 21 ikiwa nafasi ya…
BATO ya watani wa jadi ndani ya 2023 inatarajiwa kuwa ni Aprili 9 ndani ya Ligi Kuu Bara kwenye mzunguko wa pili wa 2022/23. Mtanage wa kwanza wababe hawa wenye ngome zao pale Kariakoo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-1 Yanga. Watupiaji wote walitupia mabao yao ndani ya kipindi cha kwanza ikiwa ni…
YANGA bila Fei Toto kwa mifumo huu unapasuka, Saido aanza na rekodi kibao Simba, ndani ya Championi Jumamosi
KIKOSI cha Azam FC leo Desemba 31,2022 kitamenyana na beya City kikiwa kimeachana na nyota wake wawili jumlajumla. Ni kipa namba mbili Ahmed Salula ambaye msimu huu hajapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza pamoja na nyota Chilunda. Wanafikisha idadi ya nyota watatu ambao wameachwa na Azam FC wakiungana na Ibrahim Ajibu ambaye anaibukia ndani…
MABAO mawili ya kujifunga kutoka kwa nyota Wout Faes yaliisaidia Liverpool kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester. Ushindi huo unaifanya timu hiyo kushika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu ya England. Hii ni mechi ya kwanza ya Liverpool ikiwa Uwanja wa Anfield baada ya Kombe la Dunia na timu hiyo…
Katibu Mkuu Chama cha Watu Wenye Ualbino Mkoa wa Dar Es Salaam Gaston Mcheka ametoa shukrani baada ya kupokea vifaa vya kuwasaidia katika shughuli zao za kila siku. Vifaa hivyo ni Mafuta maalum ya kutunza Ngozi, na kofia za kujikinga na mwanga wa jua ambavyo vyote hivyo vimetolewa kama msaada na Meridianbet Tanzania ikiwa ni…
KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 7-1 Prisons katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao ya ya nahodha John Bocco ambaye alitumia pasi ya Saidi Ntibanzokiza dakika ya 12,alifunga bao lingine dakika ya 46 na 62. Shukrani kwa Ntibanzokiza ambaye alifunga mabao matatu pia kwenye mchezo wake wa kwanza akiwa…
KUELEKEA mchezo wa kesho kati ya Mtibwa Sugar v Yanga benchi la ufundi la vinara wa ligi limeweka wazi kuwa lipo tayari. Yanga imekuwa na mwendo wake bora ndani ya ligi ikiwa imetoka kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Azam FC wa mabao 3-2. Kesho Desemba 31 ina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya…
UBAO wa Uwanja wa Mkapa dakika 45 zimekamilika ukisoma Simba 1-1 Tanzania Prisons. Uzembe wa kipa namba moja wa Simba, Air Manula kwenye kuokoa mpira wa hatari uliopigwa na Kimenya umeigharimu timu yake. Pongezi kwa mfungaji Jeremia Juma ambaye alikuwa kwenye eneo akiwa ametulia kama maji kwenye mtungi akamchagulia eneo la kumtungua Manula ambaye alikuwa…
KIKOSI cha Simba dhidi ya Tanzania Prisons leo Desemba 30,2022 Uwanja wa Mkapa Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Yassin John Bocco Ntibanzokiza Sakho
KUELEKEA mchezo wa funga mwaka kwa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar kiungo Bernard Morrison mzee wa kuchetua hatakuwa sehemu ya mchezo huo. Utakuwa mchezo wa mwisho kwa timu zote mbili kucheza ndani ya 2022 tukisubiri Neema ya Mungu kuuanza 2023. Sababu kubwa ya nyota huyo kutokuwa kwenye kikosi hicho ni kutokana na matatizo ya kifamilia….
HIZI hapa sababu za Yanga kuwataka wachezaji wa Azam FC
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya 10bet imetangaza kuwazawadia washindi mbalimbali 50 wa promosheni ya kombe la dunia (WC Bonanza Promotion). Michuano ya kombe la dunia ilifanyika nchini Qatar na timu ya Argentina chini ya nahodha wao, Lionel Messi ilitwaa ubingwa. Meneja Masoko wa kampuni10bet Tanzania George Abdulrahman amesema kuwa kati ya washindi hao 50,…
KAIMU Kocha Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa kushindwa kupata matokeo chanya kwenye mechi tatu kunawaondoa kwenye mbio za ubingwa. Matajiri hao wa Dar mzunguko wa pili umekuwa ni mgumu kwao kupata matokeo ambapo walianza kupata sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar na sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya…
KLABU ya Tanzania Prisons imewekewa kitita cha Tsh Milioni 30 na wadhamini wao Kampuni ya Silent Ocean endapo itaifunga Simba. Prisons inatarajiwa kumenyana na Simba leo Desemba 30,2022 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa funga mwaka. Ikitokea wakashindwa kusepa na ushindi na kuambulia pointi moja watasepa na Milioni 10 kibindoni. Ikumbukwe kwamba hata mchezo…