
AZAM FC WANALITAKA KOMBE LA SIMBA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa unalitaka Kombe la Mapinduzi hivyo hawatafanya makosa kwenye mashindano hayo. Ni Simba ambao ni mabingwa watetezi wa taji hilo la heshima ambalo limeanza Januari 2023, visiwani Zanzibar. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa lakini wamedhamiria kufanya kweli. “Hatuna utani raundi hii…