
WATATU KUIKOSA IHEFU KESHO
KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Ihefu mastaa watatu wanatarajiwa kuukosa mchezo huo. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi kesho Januari 16 ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Ihefu. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Highland State ulisoma Ihefu 2-1 Yanga….