
MSHAHARA ANAOVUTA NYOTA MPYA SIMBA NI BALAA TUPU
MSHAHARA anaouvuta nyota mpya wa Simba Siwadogo ni balaa tupu, kaikamua Simba mkwanja mrefu
MSHAHARA anaouvuta nyota mpya wa Simba Siwadogo ni balaa tupu, kaikamua Simba mkwanja mrefu
MASHABIKI wa Simba leo Januari 18,2023 wanatarajia kuona ujuzi wa Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ambaye anashikirikiana na mzawa Juma Mgunda.. Mchezo wa leo ni dhidi ya Mbeya City inayotumia Uwanja wa Sokoine kwenye mechi za nyumbani. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Sokoine walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Katika…
AMBANGILE mchambuzi wa mpira Bongo ameuchambua mchezo wa Ligi Kuu Bara Yanga 1-0 Ihefu na usajli wa Bongo
STAA mpya Yanga ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kocha wa makipa naye amerejea
ISHU ya Morrison maamuzi mazito, mashine mpya Simba hadharani leo ndani ya Championi Jumatano
NYOTA Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini. Hakuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ingizo hilo jipya kutokana na kushindwa kuonyesha makeke uwanjani. Sababu kubwa ya kukwama kufanya vizuri ni kusumbuliwa na majeraha ambapo alitumia muda mwingi kupambania hali yake…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amewazungumzia wachezaji wapya wa timu hiyo pamoja na wale ambao wapo katika kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Clatous Chama
Ukiachana na burudani za soka ulaya, utamu mwingine utakuwa kwenye Milan Derby kati ya AC Milan dhidi ya Inter Milan ni mashindano ya Supercoppa Italiana. Lakini pia kuna mechi za Copa del Rey, Coppa Italia na EPL zote zitaendelea tena wiki hii, kumbuka Odds kubwa unazipata Meridianbet. Ukubwa wa mechi hii sio tu kwa wingi…
BAADA ya kukamilisha usajili wake ndani ya kikosi cha Yanga, hatimaye kipa namba mbili wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza mazoezi. Ni Metacha Mnata ambaye alikuwa anakipga ndani ya Singida Big Stars iliyogotea nafasi ya pili hatua ya fainali kwenye Kombe la Mapinduzi 2023. Kwenye mchezo huo uliochezwa Januari 13, Mnata…
“TUMEREJEA kutoka kambi ambayo imekuwa na manufaa makubwa na kazi inaendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika,” maneno ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba, Ahmed Ally. Leo Januari 17,2023 kikosi hicho kimerejea kutoka Dubai ambapo kiliweka kambi kwa muda chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera…
SIKU mbaya kazini kwa mastaa wote wa Ihefu pamoja na benchi la ufundi baada ya mbinu zao zote kufeli mbele ya Yanga ndani ya dakika 90. Benchi la ufundi likiwa limewaanzisha washambuliaji wake Obrey Chirwa na Adam Adam ambaye ni ingizo jipya kutoka Mtibwa Sugar walishuhudia dakika 90 zikayeyuka bila shuti lililolenga lango. Kipa Diarra…
ALIWATEMBEZEA mikato Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Januari 16,2023 mpaka mwamuzi akaonekana kumwambia hili ni onyo la mwisho ukizingua adhabu inakuhusu. Ni Mudhathir Yahya kwenye kiwango kizuri dhidi ya Ihefu ambao walikuwa wanajilinda muda wote na mwisho wakapoteza kwa kufungwa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Fiston Mayele. Kiungo huyo mkabaji alikuwa akicheza kwa…
“TATIZO ni ubora wa wachezaji kwa wapinzani wetu jambo ambalo limetugharimu, ” maneno ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Patrick Odhiambo baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Azam FC 3-0 Prisons. Mchezo huo wa ligi ulitawaliwa na tambo za kutosha kwa pande zote mbili zikiweka wazi kwamba ni pointi tatu wanahitaji na…
MZIKI umetimia, Mayele ameshindikana ndani ya Spoti Xtra Jumanne, nakala yake ni jero tu
Meridianbet Januari 16 2023, ilifunga safari moja kwa moja hadi mkoa wa Pwani wakiambiatana na timu nzima ya Masoko ikiongozwa na Meneja masoko na Mawasiliano Matina Nkurlu kwaajili ya kuwashika mkono wanawake walemavu. Safari hiyo iliambatana na kutoa vifaa vya elektroniki (Kompyuta) ambayo inaweza kuwasaidia katika matumizi yao ya kila siku ya kuhifadhi data…
UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-0 Ihefu ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ihefu watajilaumu wenyewe kwa kutunguliwa kwenye mchezo wa leo kutokana na makosa ambayo wameyafanya kipindi cha pili. Shukrani kwa Fiston Mayele ambaye alipachika bao pekee la ushindi dakika ya 63 akitumia makosa ya kipa wa Ihefu Fikirini Bakari kwenye…