
USIKU WA KISASI, YANGA 0-0 IHEFU
DAKIKA 45 za mwanzo zimekamilika ambapo ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 0-0 Ihefu. Mbinu za Ihefu FC kwenye dakika 45 zakujilinda zimefanikiwa huku kwenye upande wa ushambuliaji wakiwa na tatizo. Dakika 45 rekodi zinaonyesha kwamba hakuna shuti ambalo limelenga lango licha ya Obrey Chirwa na Adam Adam kuwa kwenye eneo la ushambuliaji. Yanga…