KIKOSI cha Yanga kitakachoikabili Ihefu, Uwanja wa Mkapa, ingizo jipya Mudhathir Yahya ameanza kikosi cha kwanza huku Musonda akiwa benchi.
Hiki hapa kikosi chenyewe:-
DJIGUI Diarra
Djuma Shaban
Kibwana Shomary
Job
Mwamnyeto
Mudhathir Yahya
Sure Boy
Jesus Moloko
Fiston Mayele
Farid Mussa
Tuisila Kisinda
Akiba
Johola
Bryson
Lomalisa
Bacca
Ngushi
Ambundo
Mzize
Musonda