
MBRAZIL WA SINGIDA BIG STARS YEYE ANATUPIA TU
KIBINDONI ana mabao 7 ndani ya Ligi Kuu Bara nyota huyu wa Singida Big Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Hans Pluijm. Bao lake la saba aliwatungua Kagera Sugar ilikuwa Uwanja wa Liti, Januari 17 ubao uliposoma Singida Big Stars 1-0 Kagera Sugar ilikuwa dakika ya nne. Baada ya kutupia bao hilo alionyesha fulana yenye maneno…