Skip to content
Monday, August 31, 2026
  • Chelsea Yaichapa Brighton 4-3 Kwenye Mchezo Wa Kuvutia Stamford Bridge
  • Napoli Vs Como, United Vs Ipswich, Chelsea Vs Brighton — Chagua Wako leo
  • Bahati Yashushwa Ghafla Na Mystery Multiplier Drop
  • Tottenham Hotspur vs Newcastle United Uso kwa Uso EPL

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Chelsea Yaichapa Brighton 4-3 Kwenye Mchezo Wa Kuvutia Stamford Bridge
  • Napoli Vs Como, United Vs Ipswich, Chelsea Vs Brighton — Chagua Wako leo
  • Bahati Yashushwa Ghafla Na Mystery Multiplier Drop
  • Tottenham Hotspur vs Newcastle United Uso kwa Uso EPL

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2023
  • January
  • 15
  • ARSENAL HAWAZUILIKI
  • Sports

ARSENAL HAWAZUILIKI

Saleh4 years ago01 mins

ARSENAL hii ya Mikel Arteta ukigoma kufungwa unajifu ga mwenyewe kisha wanakufunga.

Imekuwa hivyo ugenini baada ya dakika 90 ubao umesoma Tottenham 0-2 Arsenal.

Ni bao la Hugo LIoris dakika ya 14 alijifunga na Martin Odegaard dakika ya 36.

Arsenal inafikisha pointi 47 ikiwa inaongoza ligi huku Tottenham ikiwa nafasi ya 5 na pointi 33.

Post navigation

Previous: MZEE WA KUWAJAZA APEWA MKONO WA ASANTE JANGWANI
Next: MUSONDA AANZA MATIZI YANGA

Related News

Chelsea Yaichapa Brighton 4-3 Kwenye Mchezo Wa Kuvutia Stamford Bridge

Saleh6 hours ago 0

Napoli Vs Como, United Vs Ipswich, Chelsea Vs Brighton — Chagua Wako leo

Saleh9 hours ago 0

Tottenham Hotspur vs Newcastle United Uso kwa Uso EPL

Saleh2 days ago 0

Ratiba ya NBC Premier League mzunguko wa 4

Saleh2 days ago 0
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.