
MNYAMA KUSHUSHA CHUMA KINGINE
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa bado haujamaliza usajili na kabla ya dirisha dogo kufungwa watashusha chuma cha kazi kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho. Simba kwa sasa ipo Dubai kwa ajili ya kambi ambayo itatumia siku 7 ikiwa ni mualiko maalumu kutoka kwa Rais wa heshima wa timu hiyo Mohamed Dewji, ‘Mo’. Ahmed Ally,…