Home Sports UJUZI WA MBRAZIL KUONEKANA LEO KWA MKAPA

UJUZI WA MBRAZIL KUONEKANA LEO KWA MKAPA

MASHABIKI wa Simba leo Januari 18,2023 wanatarajia kuona ujuzi wa Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ambaye anashikirikiana na mzawa Juma Mgunda..

Mchezo wa leo ni dhidi ya Mbeya City inayotumia Uwanja wa Sokoine kwenye mechi za nyumbani.

Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Sokoine walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.

Katika mchezo huo Simba walianza kupachika bao kupitia kwa Mzamiru Yassin na Mbeya City wakapata bao kupitia kwa Tariq Seif.

Previous articleVIDEO:AMBANGILE AUCHAMBUA USAJILI WA SIMBA/YANGA
Next articleMSHAHARA ANAOVUTA NYOTA MPYA SIMBA NI BALAA TUPU