
GEITA GOLD AKILI ZOTE KWA SIMBA
KOCHA Mkuu, Felix Minziro ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2021/22 wakati Minziro akikinoa kikosi hicho mchezo wao wa ligi walipokutana ubao ulisoma Geita Gold 1-1 Simba. Kwa Geita Gold bao lilipachikwa kimiani na George Mpole ambaye alikuwa mfungaji…