
AZAM FC WAPIGWA NA BUTWAA GEITA WAKIPATA PENALTI
BENCHI la ufundi la Azam FC chini ya Kaimu Kocha Kali Ongala leo Desemba 21 limeshuhudia penalti iliyowaacha kwenye mshangao na kuwapa pointi moja mbele ya Geita Gold. Dakika ya 68 mshambuliaji wa Geita Gold, Danny Lyanga alionekana akipambana kuingia kwenye 18 ya Azam FC na kugongana na mdogo wake Ayoub Lyanga. Mwamuzi wa kati…