
SAIDO APITISHWA SIMBA, ‘SEMAJI LA CAF’ LAFUNGUKA UWEZO WAKE
MTAALAMU wa mipira iliyokufa ndani ya kikosi cha Geita Gold, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, amekubalika ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Juma Mgunda. Saido raia wa Burundi, amekuwa akitajwa kuwa kwenye hesabu za kutua Simba ambao wanahitaji huduma yake kwenye dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Desemba 16, mwaka huu ili kuongeza nguvu kwenye eneo…