HII HAPA RATIBA YA YANGA KIMATAIFA

KLABU ya Yanga kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika imedondokea kundi D ambalo lina timu nne ikiwa ni pamoja na wawakilishi hawa kutoka Tanzania. Timu nyingine ambazo zipo kwenye Kundi D ni TP Mazembe, US Monastir na Real Bamako. Ikumbukwe kwamba US Monastri wao waliwafungashia virago RS Berkane huku Mazembe wao waliwahi kukutana…

Read More

KETE ZA MSIMBAZI KIMATAIFA ZIPO HIVI

WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi wamedondokea kundi C. Droo ilichezeshwa nchini Misri Desemba 12,2022 ambapo kila mmoja amejua mpinzani wake atakuwa ni nani. Katika makundi hayo Simba ipo pamoja na timu za Raja Casablanca, Horoya na Vipers ya kutoka Uganda. Ratiba ya Simba kimataifa inatarajiwa kuwa namna hii:-Feb…

Read More

SIMBA NI KUNDI C LIGI YA MABINGWA, HAWA HAPA WAPINZANI

 KLABU ya Simba ya Tanzania, imepangwa katika kundi C katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Kwenye kundi hilo ambalo ikiwa Simba watapanga kete vizuri wanaweza kutusua na wakibugi watapotezwa itakutana na Vipers kutoka Uganda, Horoya ya Guinea na Raja Cassablanca ya Morocco. Simba ilifanikiwa kuingia katika Hatua ya Makundi katika mashindano ya Klabu Bingwa na…

Read More

HUYU HAPA KIUNGO WA KAZI AMEMALIZANA NA GSM

TAARIFA zinaeleza kuwa, Klabu ya Yanga chini ya wadhamini wao Kampuni ya GSM, rasmi imemalizana na kiungo wa Uganda, Bobosi Byaruhanga na kumpatia mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kutua katika usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu. Bobosi ambaye alikuwa mchezaji huru kwa muda mrefu baada ya mkataba wake na…

Read More

WAARABU WAMFUATA TENA KIUNGO WA KAZI YANGA

MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa saini yake ikiwa ni baada ya kukoshwa na uwezo wake ambao amekuwa akiuonyesha kila mara akiwa anaitumikia timu hiyo. Kiungo huyo mara kadhaa amekuwa akiwaniwa vikali na baadhi ya klabu za nje ya nchi kwa…

Read More

RIPOTI YA MGUNDA MEZANI, JINA LA MANZOKI LINAJADILIWA

KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mgunda, tayari amekutana na viongozi wa Bodi ya Wakurugenzi na kuwasilisha ripoti ya maboresho ya kikosi chake, huku jina la straika, Cesar Manzoki likijadiliwa kwa ukubwa. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu na kufungwa…

Read More