
IHEFU WAMEZIMA NDOTO ZA AZAM FC MAZIMA
MATUMAINI ya Azam FC kutwaa ubingwa kwa msimu wa 2022/23 yamezimwa mazima na Ihefu baada ya Machi 13,2023 kuwatungua bao 1-0 Uwanja wa Highland Estate, Mbeya. Bao pekee la ushindi kwa Ihefu lilifungwa na Rafael Loth dakika ya 38 na kuwapoteza Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala. Kuyeyusha pointi tatu ugenini kunaifanya Azam…