
AZAM FC WAPEWA KIKOMBE CHAO MBEYA
KIKOMBE ambacho Azam FC waliwapa Ihefu kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara nao wamekipokea vilevile ugenini. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Azam FC iliibuka na ushindi wa bao 1-0 huku mtupiaji akiwa ni Prince Dube muuaji anayetabasamu. Machi 13,2023 ubao wa Uwanja wa Highland huko Mbeya umesoma Ihefu 1-0…