
YANGA YAIMALIZA TP MAZEMBE KIMAFIA, CHAMA AKOLEZA MOTO
Yanga yaimaliza TP Mazembe kimafia, Chama akoleza Moto CAF
Yanga yaimaliza TP Mazembe kimafia, Chama akoleza Moto CAF
BAO alilopachika mwamba Fiston Mayele kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir limechaguliwa kuwa bao bora kwa mzunguko wa tano. Nyota huyo mtambo wa mabao alipachika bao hilo kwenye mchezo uliochezwa Machi 19,2023 Uwanja wa Mkapa. Pasi ya mshikaji wake Kennedy Musonda ilikutana na Mayele aliyekuwa nje kidog ya 18 akaachia…
WATOTO wa Kinondoni, KMC wameanza mazoezi kwa ajili ya mechi zijazo za Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili 2022/23. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery kituo chake kinachofuata ni dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 11 ambapo awali ulitarajiwa kuchezwa Aprili 17ambapo KMC itakuwa nyumbani. Miongoni mwa nyota wa KMC…
Mtu wangu wa nguvu nataka kusema na wewe kuhusu mchongo wa kupiga hela tu, na kila siku huwa nakuja na machimbo na mbinu kibao za kutengeneza mtonyo wako na kujiinua kiuchumi. Fuatilia story hii nzuri yenye mbinu za kutengeneza pesa haswa kwa njia ya kasino ya mtandaoni. Moja ya sehemu unayoweza kutengeneza mkwanja mrefu ni…
IMERIPOTIWA kuwa Chelsea wapo kwenye mpango wa kuvunja mkataba na staa wao Pierre Emerick Aubameyang mwishoni mwa msimu huu. Auba amekuwa hana nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Chlesea chini ya Kocha Mkuu, Graham Potter. Tangu ametua hapo msimu huu mambo yanaonekana kuwa magumu kwa staa huyo. Ilikuwa dakikasaba tu alitumia nyota huyo kwenye mchezo…
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Adel Amrouche amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo dhidi ya Uganda. Huo ni mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda utakaochezwa Machi 24, 2023 Uwanja wa Suez Canal, Ismailia, Misri. Kocha huyo amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo wakiwa wapo imara…
Simba yabeba viungo wawili Yanga ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
BAO la Clatous Chama alilofunga kwa mpira wa pigo huru dhidi ya Horoya AC limechaguliwa kuwa Bao Bora la Wiki la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa michezo ya mzunguko wa tano. Katika mchezo huo uliochezwa Machi 18,2023 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 7-0 Horoya. Ilikuwa ni bao la mapema zaidi dakika ya 10…
KIKOSI cha Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongala leo Machi 22 kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar. Huu ni mchezo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za mashindano ambapo Azam FC inacheza Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Azam Sports Federation ikiwa imetinga hatua ya robo…
KWENYE hatua ya makundi akiwa amecheza mechi tano Fiston Mayele kajaza kimiani mabao matatu akiwa amewatungua Real Bamako mabao mawili na US Monastir bao moja. Weka kando suala la uchoyo ambao ni asili ya washambuliaji wengi duniani Mayele ana pasi moja ya bao alitoa mchezo dhidi ya TP Mazembe Kwa mshikaji wake Tuisila Kisinda. Mkali…
BAADA ya kutinga hatua ya robo fainali Yanga imeanza hesabu za mchezo wao ujao wa kimataifa dhidi ya TP Mazembe. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 2 DR Congo. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 3-1 TP Mazembe. Kwenye mchezo huo ni Kennedy Musonda, Mudhathir Yahya na Tuisila Kisinda ambaye…
Kuna michezo mingi sana ya Kasino lakini sloti hii ya Book of Eskimo ni Zaidi ya mchezo ni uhalisia wa Maisha, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea sloti hii ya kijanja inayokupa uhalisia wa mazingira halisi mchezoni ambapo ushindi unapatikana kwa namna ambavyo wewe unaweza kuvumilia baridi kwenye mazingira ya namna hiyo. Kasino ya mtandaoni…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mitambo yao yote ya kazi katika kikosi hicho ina kazi maalumu ya kufanya kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Raja Casablanca ugenini. Katika kundi C, Raja ni vinara wakiwa na pointi 13 kwenye mechi tano ambazo wamecheza hawajapoteza hata mmoja zaidi ya kuambulia sare moja na wameshinda nne. Katika…
LIGI ya Wanawake Tanzania inazidi kuwa na ushindani mkubwa kutokana na kila timu kufanya kazi kubwa kusaka ushindi. Unaona kwamba msimu huu mpaka sasa bado hakuna timu ambayo imejihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa kutokana na mipango kazi ambayo inafanywa. Kwa sasa hilo ni jambo ambalo linapaswa kuendelea kupewa uangalizi na umakini hasa kwa kuboresha mazingira…
JEMBE afungukia kinachoendelea kambi ya Stars, mastaa wote ndani
CLATOUS Chama mwamba wa Lusaka kwenye mashindano ya kimataifa anafanya vizuri ikiwa ni nembo kwa wazawa kushtuka na kuiga namna anavyofanikiwa. Anaingia kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa CAF mchezo wa tano akiwa na mshikaji wake Sadio Kanoute hawa wote wapo ndani ya Simba na ikumbwe kuwa kwenye mechi ya nne alisepa…
Yanga yaingia chimbo kusaka straika na Simba wanaitaka fainali CAF ndani ya Championi Jumatano