AZAM FC WANA JAMBO LAO
KOCHA Mkuu wa Azam FC Yusuph Dabo amesema kuwa watafanyia kazi makosa yaliyopita kwenye mchezo wao dhidi ya Singida Fountain Gate ili kuendelea kupata ushindi. Katika mchezo huo Azam FC ilipata bao la ushindi dakika ya 90 kupitia kwa nyota wao Idd Suleiman, (Nado) alimtungua kipa wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya. Singida Fountain Gate…