


VIDEO:ISHU YA VIATU VIWILI VYA UFUNGAJI NAIBU AFUNGUKA
NAIBU wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amezungumzia suala la kutoa tuzo za viatu viwili kwa wafungaji Fiston Mayele wa Yanga na Saido Ntibanzokiza wa Simba wote wakiwa wametupia mabao 17 msimu wa 2022/23. Pia Mayele wa Yanga ametwaa tuzo ya mchezaji bora ambapo tuzo hiyo ni mke wake aliichukua pamoja na…

MWISHO WA UBISHI TUZO YA MFUNGAJI BORA
KATIKA usiku wa tuzo za Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na benki ya NBC, ule ubishi wa nani atakuwa mfugaji bora uligota mwisho rasmi kwa kumtambua ambaye amesepa na tuzo hiyo. Nyota wawili kwenye ligi walitupia mabao 17 kwa kila mmoja ikiwa ni Saido Ntibanzokoza kiungo mshambuliaji wa Simba na Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga. Baada…

BEKI LA KAZIKAZI LASEPA NA TUZO
DICKSON Job beki wa kazikazi anayeitumikia Klabu ya Yanga ana tuzo ya beki bora msimu wa 2022/23. Job wa Yanga amewashinda washkaji zake aliokuwa anapambana nao kwenye kipengele hicho ikiwa ni pamoja na nahodha wake Bakari Mwamnyeto. Wengine ni Mohamed Hussein, Shomari Kapombe na Henock Inonga wote ni mali ya Simba. Inonga alikuwa na tuzo…

KIKOSI BORA SIMBA WATAWALA, SINGIDA YAPENYA
KIKOSI bora msimu wa 2022/23 ni nyota mmoja kutoka Singida Big Stars mkali wa mapigo huru anaitwa Bruno Gomes ni kiungo mshambuliaji. Simba iliyogotea nafasi ya pili imetoa wachezaji 6 ambao ni Shomari Kapombe, Mohammed Zimbwe, Henock Inonga, Muzamiru Yassin, Claotus Chama na Saido Ntibazonkiza. Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara wametoa wachezaji…

IJUE REKODI ALIYOFUNGA NAYO JOHN BOCCO
NAHODHA wa Simba John Bocco amefunga msimu wa 2022/23 na rekodi yake a kufuta gundu ya kukwama kupachika bao ndani ya 2023. Ipo wazi kuwa ni Desemba 30 2022 Bocco alifunga mabao kwenye mchezo wa kufungia mwaka kwa Simba alipowatungua mabao matatu Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa. Bocco alianza kwa kasi kwenye kucheka na nyavu…

YANGA NA UBINGWA WA FA
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wamejituma kucheza dhidi ya timu ngumu katika fainali. Yanga imeshinda dhidi ya Azam FC kwenye fainali ya Kombe la Azam Sports Federation. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani umesoma Azam FC 0-1 Yanga. Mtupiaji ni Kennedy Musonda dakika ya 14 akifunga bao pekee ambalo limedumu mpaka mwisho…
YANGA YATWAA TAJI LA FA MKWAKWANI
NAHODHA wa Yanga Bakari Mwamnyeto ameshuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ukisoma Azam FC 0-1 Yanga. Bao pekee la ushindi kwa Yanga limepachikwa na Kennedy Musonda dakika ya 14 kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa. Mwamnyeto nahodha wa Yanga ametoka kushuhudia timu hiyo ikitwaa taji la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2022/23. Ni…

NTIBANZOKIZA ATWAA TUZO YAKE
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza ametwaa tuzo ya mchezaji bora chaguo la mashabiki. Nyota huyo ni mchezaji bora kwa Mei baada ya kuwashinda washkaji zake wawili alioingia nao fainali. Ni Shomari Kapombe na Hennoc Inonga ambao hawa ni wataalamu kwenye eneo la ulinzi. Ntibanzokiza ndani ya Mei kwenye mechi mbili katupia jumla ya mabao…

AZAM FC 0-1 YANGA
KENNEDY Musonda nyota wa Yanga amepachika bao la kuongoza kwa Yanga kwenye mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Azam FC. Dakika ya 14 bao hilo limepachikwa na raia huyo wa Zambia ambaye aliwazidi ujanja mabeki wa Azam FC na kuandika bao kwa Yanga. Uwanja wa Mkwakwani mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia mchezo wa…

NGOMA ITAKUWA NZITO LEO UWANJA WA MKWAKWANI
CHAPCHAP ni sawa kwenye kufunga msimu wa 2022/23 lakini kazi itakuwa kubwa kwa wababe wawili, Uwanja wa Mkwakwani kusaka taji la Kombe la Azam Sports Federation. Yanga wakiwa wametoka kwenye kilele cha furaha baada ya kutwaa taji la ligi wanakutana na Azam FC ambao hawajavuna taji msimu huu. Hapa tunakuletea mtifuano utakavyokuwa:- Wakali wakitokea benchi…

SIMBA WAIFUNIKA YANGA, AZAM FC
MASTAA wa Simba wamewafunika watani zao wa jadi Yanga kwenye idadi ya hat trick ambazo wamefunga ndani ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Azam FC. Msimu wa 2022/23 ni mastaa saba walifunga hat trick huku ikiwa ni watatu kutoka Simba, wawili kutoka Yanga mmoja ni mali ya Namungo inayotumia Uwanja wa Majaliwa na…

NTIBANZOKIZA NA TUZO MKONONI, MABAO SABABU
MKONONI ana tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi Mei baada ya kuwashinda nyota wawili alioingia nao fainali. Nyota huyo ni shuhuda wa watani zao wa jadi Yanga wakisepa na taji la ligi kwa msimu wa 2022/23 wakiwa na tofauti ya pointi tano. Anaitwa Saido Ntibanzokiza kiungo mshambuliaji wa Simba ambaye alitupia…

WAKALI WA KUTENGENEZA PASI ZA MWISHO BONGO
WAKALI ni wakali tu iwe ni mwanzo ama mwisho wanakiwasha na msimu wa 2022/23 umeshuhudia wengi kwenye kila sekta. Kwenye mwendo wa data tuna wakali wa kutengeneza pasi za mwisho namna hii:- Clatous Chama pasi 14 Kinara kwa kutengeneza pasi za mwisho Bongo ndani ya Ligi Kuu Bara ni Clatous Chama yupo zake ndani ya…

CITY MABINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
UEFA Champions League mkononi kwa ushindi wa bao la Rodri dakika ya 68 dhidi ya Inter Milan Uwanja wa Ataturk Olympic. Katika mchezo huo Kocha Mkuu wa City Pep Guardiola alishuhudia vijana wake wàkipiga kona mbili na wapinzani wao Kona nne. Jumla zilipigwa pasi 512 kwa City na 394 kwa Inter ambao wapipiga mashuti sita…

NGUMU KUIKATAA DAWA, FUNGA MSIMU YA KILIO NA TABASAMU
NGUMU kuikataa dawa pale ugonjwa unapozidi ipo hivyo kutokana na kila mmoja kupambania malengo yake.Msimu umefungwa kwa jasho, kilio na tabasamu kwa waliofikia mipango yao. Msimu wa 2022/23 umefungwa na kila kitu kimeshuhudiwa ndani ya uwanja kwa timu kupambana huku Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hawa wakianza maisha mapya ndani ya Championshi. Hapa tunakuletea baadhi…

WATATU WAPENYA TUZO SIMBA, SAIDO NDANI
KWENYE orodha ya Wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Mei, 2023 kiungo mshambuliaji Saido Ntibanzokiza jina lake limepenya. Ntibanzokiza anapambania tuzo hiyo akiwa kiungo peke yake huku wawili wakiwa ni mabeki wa kazikazi ndani ya Simba. Nyota huyo kafunga msimu akiwa ametupia mabao…