HAWA HAPA WANAOTAKIWA MKUTANO MKUU YANGA

IKIWA imekamilisha msimu wa 2022/23 na mataji mkononi kesho Juni 24 Wanachama wa Yanga wanatarajiwa kufanya mkutano mkuu. Yanga imetwaa mataji yote iliyokuwa inapambania kwenye ardhi ya Bongo ikiwa ni pamoja na Ngao ya Jamii, ligi na Kombe la Azam Sports Federation. Kwenye anga la kimataifa Yanga katika Kombe la Shirikisho Afrika imegotea nafasi ya…

Read More

LEGEND MKUDE, NYONI THANK YOU HAZIWATOSHI

LEGEND Jonas Mkude anaingia katika orodha ya Thank You huku akinyimwa maua yake. Amevuja jasho kuipambania nembo ya Simba akiwa ni miongoni mwa nyota waliocheza mechi nyingi dhidi ya watani zao wa jadi Yanga hili sio jambo dogo ujue. Kupata nafasi kikosi cha kwanza mbele ya watani wa jadi Yanga katika kikosi cha Simba inaonyesha…

Read More

THANK YOU KAKOLANYA

BENI Kakolanya kipa wa Simba anaingia kwenye orodha ya nyota ambao watakuwa kwenye changamoto mpya msimu ujao. Kipa huyo aliibuka ndani ya Simba akitokea kikosi cha Yanga ilichokuwa kinanolewa na Mwinyi Zahera. Ndani ya Yanga Kakolanya alifanya kazi kubwa ikiwa ni kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi alipookoa hatari zaidi ya 7 na kuliweka lango salama….

Read More

CR 7 KAANDIKA REKODI NYINGINE

MWAMBA huyu hapa Cristiano Ronaldo anaingia kwenye rekodi nyingine ya dunia. Kitabu cha rekodi cha dunia maarufu kama Guinness kimeandika jina lake akiwa ni nyota wa kwanza kucheza mechi 200 akiwa na timu ya taifa ya Ureno. Rekodi hiyo mpya aliiandika juzi wakati Ureno ikicheza dhidi ya Iceland katika kufuzu michuano ya EUERO na Ureno…

Read More

BEKI JOASH ONYANGO APEWE ULINZI

MZUNGUKO wa dunia unavyozidi kwenda na matukio yanaongezeka na kwenye ulimwengu wa mpira kila wakati kumekuwa kuna mabadiliko ambayo yanatokea. Ndani ya kikosi cha Simba kuna beki wa kazi Joash Onyango ambaye amekuwa akionekana kwenye uvurugaji mara nyingi jambo linalowavuruga mashabiki pamoja na viongozi kwamba asepe ama abaki. Licha ya yote hayo beki huyo anahitaji…

Read More

KOCHA MBRAZIL KURAHISISHIWA KAZI NDANI YA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utafanyia kazi mapendekezo ya benchi la ufundi kwenye upande wa usajili ili kuongeza wachezaji imara ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao. Ni Roberto Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amewaomba viongozi wa timu hiyo kuongeza wachezaji wawiliwawili kila idara ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi kwa msimu ujao wa…

Read More

YANGA:HATUNA JAMBO DOGO

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa hawana jambo dogo linapokuja suala la kuboresha kikosi hicho kwa kuhakikisha kila wanayemhitaji anabaki. Timu ya Yanga imekamilisha msimu wa 2022/23 ikiwa na mafanikio ya kutwaa taji la ligi, Ngao ya Jamii, Azam Sports Federation na imecheza fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Kuna wachezaji ambao wanatajwa kutaka…

Read More

MCHETUAJI BM HUYO SINGIDA

MZEE wa kuchetua Bernard Morrison kiungo aliyezivuruga kwa nyakati tofauti nyavu za makipa wa Bongo akiwa mitaa miwili tofauti. Akiwa ndani ya Yanga alimtungua Aishi Manula kwenye Kariakoo Dabi na hapo jina la mchetuaji likapatikana. Uwezo wake ukwavutia mabosi wa Simba wakampa dili la miaka miwili akiwa huko alionyesha uwezo ikiwa ni kwenye mechi za…

Read More

UTAWALA WA WAGENI UTAZAMWE KWA UMAKINI

MUDA mchache wanasema mambo ni mengi ila ili yote yaende kwa umakini jambo la muhimu kuzingatia ni mpangilio kwenye kila hatua. Ni kuanzia Singida Big Stars ambao wamekuwa na msimu mzuri ndani ya Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza wanapaswa kuwa na mwendelezo. Kwa sasa Singida Big Stars inaitwa Singida Fountain Gate FC hivyo…

Read More

MWAMBA HUYU YUPO SANA AZAM FC

KUELEKEA msimu wa 2023/24 mabosi wa Azam FC wamemuongezea dili la miaka mitatu nyota Sospeter Bajana. Nyota huyo bado ataendelea kusalia ndani ya Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex mpaka 2026. Ikumbukwe kwamba Azam FC iligotea nafasi ya pili kwenye fainali ya Azam Sports Federation baada ya kupoteza kwenye mchezo dhidi ya Yanga. Yanga…

Read More

HESABU ZA KESHO MUHIMU KUPANGWA LEO

KWA kila aina ya nyakati ambazo zinapita ni muhimu kuwa na mwendelezo mzuri ambao utaleta matokeo chanya kila idara kwenye sekta ya michezo sio Yanga tu bali Singida Big Stars. Namungo mpaka Geita Gold wakati wa kuanza maandalizi ni sasa kwani kila timu ni muhimu kufanya maandalizi mazuri. Wapo ambao wanaamini kwamba kufika mwisho kwa…

Read More

NIFUATE YA SAMAKIBA YAPAMBA MOTO

KWENYE Nifuate ya Samakiba huku mgeni rasmi akiwa ni rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amekuwa shuhuda ubao ukisoma Timu Samatta 4-2 Timu Kiba. Mchezo huo wa hisani maalumu kwa ajili ya kurejesha kwa jamii umepamba moto huku kila mmoja akionesha ujuzi wake ndani ya uwanja. Mchezo huo wa hisani ulichezwa Uwanja wa Azam Complex…

Read More

WAWILI SIMBA WAMEGOTA MWISHO

BEKI wa Simba Mohamed Outtara hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Nyota huyo alikuwa kwenye kikosi kilichopoteza Ngao ya Jamii mbele ya watani za jadi Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao mawili yote yakifungwa na Fiston Mayele ambaye alimtungua Beno Kakolanya. Ni Pape Sakho…

Read More